Kenya
Kutana na baadhi ya Wajuzi wa Mitaa na wapigapicha wanaoweka Kenya kwenye ramani. Ari yao ya kuusaidia ulimwengu ujue kuhusu urembo wa ajabu wa mazingira ya Kenya iliwapelekea wachague Taswira ya Mtaa kuwa zana bora zaidi ya kutimiza lengo hili.
IMECHAPISHWA KATIKA:
Kuweka kwenye Ramani na MtandaoniGundua zaidi