Zanzibar
Tazama kikundi cha wapigapicha cha World Travel in 360 wakizungumza kuhusu Project Zanzibar, mradi wao wa pamoja na serikali ya Tanzania wa kuweka Zanzibar kwenye ramani. Federico Debetto, Nickolay Omelchenko na Chris du Plessis walisafiri Tanzania ili kuandaa msingi wa kuweka funguvisiwa kwenye ramani, kuelimisha wakazi kuhusu picha za Taswira ya Mtaa na kujenga mfumo thabiti kwa jumuiya ili iendeleze mpango huu kivyake.
Gundua zaidi